Tutaiba kidogo mali ya umma na kutubu, kikubwa usiache alama yenye mashaka kwa Mamlaka

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss that you can get if the highest authority know what you have done during the process of stealing

Mimi Gussie nitaiba na nitajitahidi kuwa na level nzuri ya Stolen Capacity Katika awamu hii ya sita, Mamlaka wamesema stolen capacity iwe at least urefu wa Kamba yako, Lakini hajasema Kamba ya aina gani kuna Kamba zenye mnyumbuliko

Ninayaongea haya kwa kuwa hakuna utajiri wa uhalali, Wengi mali zetu zimepatikana kwa dhuluma na madili, Wapo waliochukua rushwa, waliofoji safari mbalimbali wapate pesa, Wapo walioiba na wapo wanaorogana ili kupata safari na hili mwenyekiti wa ccm Mama Samia amelisema wazi Waziri na manaibu wanapigania Safari

Nilipandisha uzi huu Nitaendelea kutoa rushwa na kuwashangilia mafisadi

Pesa imeanza kuzunguka ni vyema ukala kwa urefu wa Kamba yako, Na hili limesisitizwa na mwenyekiti mwenyewe wa chama chetu cha ccm

Mimi binafsi nitajitahidi kula kwa urefu wa mkono wangu na sio Kamba, Kama una mkono mfupi utapata taabu sana awamu hii ya sita, Naongelea wenye mkono wa birika

Ukila kwa urefu wa kamba mara nyingi Kamba ya mbuzi au Ng'ombe ni ndefu sana unaweza kutana na visiki ukashindwa kuchomoka au Kamba ikajikunja kunja na kuacha alama kwa Mamlaka, Ni vyema kula kwa urefu wa mkono wako

Kuiba na kutubu sio dhambi, Dhambi ni Kuiba kwa kudhamiria toka moyoni na hii itahitaji toba. Kusaidia mtu ili afanikiwe na yeye kukuachia takrima sio dhambi kwani msaada wako utazaa mlinganyo mrefu kwa aliyesaidiwa watoto na ndugu zake na waliosoma uchumi wanaita Multiplier effect

Mwenyekiti pia amekazia umuhimu wa CONNECTION pale unapoona kuna watu Ukiwavuta watakusaidia hasa kwenye hizi ajira, Hii sio dhambi kwani dhamiri ni kusaidia jamii ipate maendeleo. Muhimu wale wana CCM watakaovutwa na wao wajishikilie zaidi

Uwazi huu wa Mama ni wa kuunga mkono, Hakuna siri kila mtu hapa ni Mwizi sema tuna tofautiana level na mirija ya upigaji, Hizi Mali tulizonazo kama zingekuwa na mdomo wa kuongea wengi tungeabika hapa duniani

Tuendelee kutubu kila wakati, Unaiba kidogo unatubu ndio maisha yenyewe hayo, The cycle looks like the sphere but sometimes for kids they say it looks like an egg shape. Tuibe kwa tahadhari na heshima uwe umeiba duara au yai Mwizi ni Mwizi tu, kikubwa tumeshapewa Benchmark au msingi wa kuanzia kula yaani tule kwa urefu wa Kamba zetu
 
Duuuuh nilijua upo bize na PhD yako Udom kumbe bado unatafuna Mali za uma

CCM ni shidaa

Ngoja nitafute connection, Pesa za korona zilishapigwa au ndio kwa urefu wa kamba
 
No wonder Misikiti na Makanisa yanafurika mbwa, tangia lini Mbwa akaweza kusoma na kuelewa Biblia ?
 
watu mbona hamjui kutumia fursa!!??,mfalme kasema mle,Ila msivimbiwe !! mnataka nn sasa!!? mfalme ameona asiwe mnafiki kuwaambia watu wasile ,wakati yy anakula tena kwa urefu ya kamba yake,unafki huleta mauti,bola amekuwa muwazi ,sote tule,ss na yy kila mmoja atafune kwa urefu wa kina chake ,hakuna kuleteana wivu,chuki na kuchomeana.kula uwezavyo Ila ,usifanye kufuru mpaka ukavimbiwa. Hongera mh.kwa kuwa umeona usiwe mnafiki!!
 
Eti mama anahalalisha mawaziri na manaibu waziri kuiba nje ya mishahara yao. Na anasisitiza kabisa kwamba kuleni ila kidogo, najua mnakula ila kuleni kidogo.

Yaani rais anawapa green light mawaziri kuiba mali za umma ila waibe kwa kiasi. Kwamba wasiibe hadi wakazidisha.

Huyu mama ni laana kwa hii nchi.
 
Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss that you can get if the highest authority know what you have done during the process of stealing

Mimi Gussie nitaiba na nitajitahidi kuwa na level nzuri ya Stolen Capacity Katika awamu hii ya sita, Mamlaka wamesema stolen capacity iwe at least urefu wa Kamba yako, Lakini hajasema Kamba ya aina gani kuna Kamba zenye mnyumbuliko

Ninayaongea haya kwa kuwa hakuna utajiri wa uhalali, Wengi mali zetu zimepatikana kwa dhuluma na madili, Wapo waliochukua rushwa, waliofoji safari mbalimbali wapate pesa, Wapo walioiba na wapo wanaorogana ili kupata safari na hili mwenyekiti wa ccm Mama Samia amelisema wazi Waziri na manaibu wanapigania Safari

Nilipandisha uzi huu Nitaendelea kutoa rushwa na kuwashangilia mafisadi

Pesa imeanza kuzunguka ni vyema ukala kwa urefu wa Kamba yako, Na hili limesisitizwa na mwenyekiti mwenyewe wa chama chetu cha ccm

Mimi binafsi nitajitahidi kula kwa urefu wa mkono wangu na sio Kamba, Kama una mkono mfupi utapata taabu sana awamu hii ya sita, Naongelea wenye mkono wa birika

Ukila kwa urefu wa kamba mara nyingi Kamba ya mbuzi au Ng'ombe ni ndefu sana unaweza kutana na visiki ukashindwa kuchomoka au Kamba ikajikunja kunja na kuacha alama kwa Mamlaka, Ni vyema kula kwa urefu wa mkono wako

Kuiba na kutubu sio dhambi, Dhambi ni Kuiba kwa kudhamiria toka moyoni na hii itahitaji toba. Kusaidia mtu ili afanikiwe na yeye kukuachia takrima sio dhambi kwani msaada wako utazaa mlinganyo mrefu kwa aliyesaidiwa watoto na ndugu zake na waliosoma uchumi wanaita Multiplier effect

Mwenyekiti pia amekazia umuhimu wa CONNECTION pale unapoona kuna watu Ukiwavuta watakusaidia hasa kwenye hizi ajira, Hii sio dhambi kwani dhamiri ni kusaidia jamii ipate maendeleo. Muhimu wale wana CCM watakaovutwa na wao wajishikilie zaidi

Uwazi huu wa Mama ni wa kuunga mkono, Hakuna siri kila mtu hapa ni Mwizi sema tuna tofautiana level na mirija ya upigaji, Hizi Mali tulizonazo kama zingekuwa na mdomo wa kuongea wengi tungeabika hapa duniani

Tuendelee kutubu kila wakati, Unaiba kidogo unatubu ndio maisha yenyewe hayo, The cycle looks like the sphere but sometimes for kids they say it looks like an egg shape. Tuibe kwa tahadhari na heshima uwe umeiba duara au yai Mwizi ni Mwizi tu, kikubwa tumeshapewa Benchmark au msingi wa kuanzia kula yaani tule kwa urefu wa Kamba zetu
Umesahau kitu kimoja "NA NISIJUE"Mzee sikuja na slogani" RUKSA, wa Sasa naye kairudie KIVINGINE"RUKSA KUKWAPUA ILA CHUNGA ASIJUE. wale tunaouliza "nitoke vipi," jibu tayari.
 
Back
Top Bottom