Tutaje ahadi za kimapemzi ambazo hazitekelezeki

Natamani siku tukifa tukaishi wote peponi!
Mazafanta wee kule kuna mabikra 70 nije nikutafute huko we wa nini ni likitambi lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natamani siku tukifa tukaishi wote peponi!
Mazafanta wee kule kuna mabikra 70 nije nikutafute huko we wa nini ni likitambi lako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana
 
Wewe ni demu wangu wa 5 toka nimeanza mahusiano... Kumbe mwanawane ukianza kuwahesabu unaweza kujaza Yutong 2 na Coaster 3
 
"Hata tukiachana Dark Father, nipo tayari kukuzalia mtoto. Utakuwa umeniachia zawadi nzuri sana ya kukukumbuka."
 
Natamani siku tukifa tukaishi wote peponi!
Mazafanta wee kule kuna mabikra 70 nije nikutafute huko we wa nini ni likitambi lako
Hahahahah...
Kalale Mr.
Comment yako ime-conclude matumizi yako ya social media kwa leo.
 
Back
Top Bottom