Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bangi nibangue[emoji125]Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kauli ya kichocheziZembwela havuti bangi wala hanywi viroba
Mhh, hebu siliza ya TID na KRTID viroba
Namchokoza tu mkuu, sina jipya!! Its only a jokeMkuu huyo ostadhat unamuonea
Tazama jinsi wasanii wa bongo walivyogeuzwa daladala za madawa ya kulevya, tena kwa kutumia usafiri wa tumbo... | IZABREEZNiungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule.
Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam
Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema ni vioo vya jamii(wasanii). Tukiwataja huenda kwa namna Moja ama nyingine wakaona aibu na kuacha na pia itatufanya tusisituke sana kama ilivotokea kwa wasanii ambao wamekwisha julikana. Wasanii hawa wakitajwa hapa siku wakija kujulikana kama wanatumia kweli poda na bangi basi jamii itawachukulia poa maana watakuwa wameonywa wakashindwa kubadili tabia.
NB: usitaje wasanii ambao tayar wameshajulikana kama vile Ray C, Nando, Chind Benz,Daz Baba,FEROUZ et. Taja tu wale ambao wapo wanatumia ila madhara bado hayajaonekana kwa ilivotokea kwa wasanii tajwa.
Lengo ni kuonya na kuelimisha wasanii maana inaonekana wanaimba nyimbo za kuelimisha ili wapate pesa ila wanashindwa wao bnafsi kutumia nyimbo zao za jumbe Kali na nzuri kuzifuata na kuzitii.
Nawasilisha
Karibuni.
Rais 2020.
Hiyo ndio mifano kuna vilevi kibao tena vina madhara makubwa na havipigwi vita.sasa ndugu yangu mada ni bange ama pombe....
Safari ndogo ikoje?Mimi nakunywa safari ndogo
Upo chato nn?Safari ndogo ikoje?
Nipo sizonjeUpo chato nn?
Mti upi mjohoro au mbuyulile jicho LA baba john A.K.A Adam mchovu sijui kama anaacha ule mti wa arusha
Hupendi harakati?Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
Harakati? Kila mmoja him anaharakatia maisha yake [emoji13] [emoji13]Hupendi harakati?
Muonyeni sana Dully Sykes; huchukua mzigo wake Mikocheni vichochoroni akiwa na kigali tinted!!!