Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bangi nibangue[emoji125]
 
Niungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule.
Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam

Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema ni vioo vya jamii(wasanii). Tukiwataja huenda kwa namna Moja ama nyingine wakaona aibu na kuacha na pia itatufanya tusisituke sana kama ilivotokea kwa wasanii ambao wamekwisha julikana. Wasanii hawa wakitajwa hapa siku wakija kujulikana kama wanatumia kweli poda na bangi basi jamii itawachukulia poa maana watakuwa wameonywa wakashindwa kubadili tabia.

NB: usitaje wasanii ambao tayar wameshajulikana kama vile Ray C, Nando, Chind Benz,Daz Baba,FEROUZ et. Taja tu wale ambao wapo wanatumia ila madhara bado hayajaonekana kwa ilivotokea kwa wasanii tajwa.
Lengo ni kuonya na kuelimisha wasanii maana inaonekana wanaimba nyimbo za kuelimisha ili wapate pesa ila wanashindwa wao bnafsi kutumia nyimbo zao za jumbe Kali na nzuri kuzifuata na kuzitii.
Nawasilisha

Karibuni.

Rais 2020.
Tazama jinsi wasanii wa bongo walivyogeuzwa daladala za madawa ya kulevya, tena kwa kutumia usafiri wa tumbo... | IZABREEZ
 
Mimi navuta bia nakunywa bangu nalamba sembe wewe je?
Kila mtu anastarehe yake acha walete mziki tupate burudan tukitumia vitu vizur
 
Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
Hupendi harakati?
 
Leo ktk xxl kasema hatumii na ndio maana kawatenga wengi wanaotumia drugsss,,na kaachia nyimbo mpya Leo,,https://jamii.app/JFUserGuide u for the hate.
Muonyeni sana Dully Sykes; huchukua mzigo wake Mikocheni vichochoroni akiwa na kigali tinted!!!
 
Back
Top Bottom