Haaah haaaa naona na yeye atafanya mapinduzi !!!!!Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
Bangi sio madawa ya kulevya.
Sigara ina madhara makubwa kuliko bange.
Wavuta bangi wengi walikuwa wanaharakati muangalieDah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
Mti upi mjohoro au mbuyu
haloo bange imewapoteza vijana wazuri kabisa nawajua walioptea...Hiyo ndio mifano kuna vilevi kibao tena vina madhara makubwa na havipigwi vita.
Imewapoteza!!!kivipihaloo bange imewapoteza vijana wazuri kabisa nawajua walioptea...
Kwa nini mkuu?naomba ufafanuePiriton nazo ni nomaa zaidi ya bangi
Bangi inaonekana huwa inakaa pabaya sana kwenye ubongo manaake swag zawavutaji huwa znafananaHarakati? Kila mmoja him anaharakatia maisha yake [emoji13] [emoji13]
Dah!! yani umeniwahimaraisi vipi hawatajwi????
Naona unawatetea wenzioHuu uzi umekaa kifitini zaidi...
Bangi haina tatizo waacheni wavute.
Wengi wapi? Wataje japo wachache mkuuWasanii Wengi wa Hip Hop wanapiga Bange.
Mm nishawahi kumuona amejinyea kitandani alifikiri anazaa kumbe anakunya....bange sio kabisaMbona usemi kuhusu ukinywa pombe inavyokuwa?!
Ushawahi kumuona mvuta bange kajikojolea barabarani?!