Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
Haaah haaaa naona na yeye atafanya mapinduzi !!!!!
 
Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....[emoji13] [emoji13]
Wavuta bangi wengi walikuwa wanaharakati muangalie

Bob
Dube
Selassie
Alpha blondy

Nk nk

Huyo anawapa darsa ya kuwa mpambanaji ,ujue wavutaji wengi hawapendi Babylon ..msimkimbie mshikaji
 
Tatizo bangi ya bongo ni mbichi inatoka morogoro inakaushwa na moshi tofauti na kitu ya chuga inakomalia shambani hivyo mapusha wengi wa dar wanamix na poda ili vijana wapate stimu pia ni mkakati wa wauza poda ili kuongeza mateja ila bangi ina madhara makubwa sana
 
Thread inahitaji kuwaanika wasanii wetu wanaojihusisha na mihadarati.. Sio wachangiaji wanaovuta bange..
 
Mi navuta Kila ck asubuhi, mchana na jioni niliandikiwa na Dr kwa ajili ya kutibu kifua, ni lazima kila ck hata nikiwa kwa chachi mda ukifika natoka nakiwasha then nakuwa sawa.
 
Mbona usemi kuhusu ukinywa pombe inavyokuwa?!

Ushawahi kumuona mvuta bange kajikojolea barabarani?!
Mm nishawahi kumuona amejinyea kitandani alifikiri anazaa kumbe anakunya....bange sio kabisa
 
Back
Top Bottom