Tutaje Mambo madogomadogo kuyafanya ila yanaongeza hamu ya kula.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.

1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.

2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.

3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.

Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.

DSC_0073.JPG
DSC_0069.JPG
DSC_0066.JPG
DSC_0029.JPG
 
Usile mpaka njaa ikukabe haswa.

Sio lazima kula mara 3 kwa siku, au kila siku, usiogope

Mbele ya nenge la kibabe utakula tu
Janaba atatupoteza. Mkuu Sawa tusile sana ila angalau tuna tambua kwamba walahu kwenye mlo wako usiache matunda na protein Kwa wingi na me naamini sana kwenye Maharage, mayai ya kienyeji na maziwa mtindi hivyo ni vidogo ila ni source kubwa ya protein kwenye matunda asee finish your green 🥗
 
V
Haya furahia maisha usiache kufanya ibada na kuwakumbuka wale wasio weza kupata chakula kama chako kutokana na ukata
Vyakula vya asili naona wa tanzania wengi Wana uwezo kuvipata mfano Mihogo, maboga, na mboga za majani
 
Janaba atatupoteza. Mkuu Sawa tusile sana ila angalau tuna tambua kwamba walahu kwenye mlo wako usiache matunda na protein Kwa wingi na me naamini sana kwenye Maharage, mayai ya kienyeji na maziwa mtindi hivyo ni vidogo ila ni source kubwa ya protein kwenye matunda asee finish your green 🥗
Nimezungumzia njaa sio lishe mkuu

Ukiona huna hamu ya kula subiri njaa ipige hodi

Simple tu
 
Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.

1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.

2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.

3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.

Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Hivi ninyi ndugu zangu katika ulabu huwa mnakosaje hamu ya kula.Mimi hata nigide vipi ulabu,nikikuta wali maharage nabugia bila shida.Tupo tofautitofauti sana.
 
Hii hali ya kukosa hamu ya kula imekuwa tatizo kubwa sana kwa sasa
 
Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.

1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.

2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.

3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.

Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Mnafakamia misosi tu wakati waja wa Allah wapalestina wanakufa kwa njaa kwa ujinga wao.
 
Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.

1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.

2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.

3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.

Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Acha pombe.
 
Hivi unatakiwa ule kwasababu njaa inauma au kwasababu muda wa kula umefika?
Shida ni kwamba ukifululiza pombe unaweza kujikuta una njaa lakini usitaman kula ukaona uko Sawa ila pombe, inateremka yenyewe
 
Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.

1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.

2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.

3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.

Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Uzuri sijawahi kosa hamu ya kula
 
Back
Top Bottom