Tutaje mambo mazito yanayosumbua taifa kwa sasa ili yaundiwe Tume za Uchunguzi za Bunge

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.

Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa.

Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde tume za kiuchunguzi kwa niaba ya wananchi
 
Tamisemi Ina madudu mengi Sana. Waweke hata maoni Kwa njia za electronic
 
1. Mchakato wa majina ya Makarani ya Sensa
2. Kupanda bei za bidhaa
3. Kupanda bei ya Mafuta ya Petroli na Dizeli
4. Anuani za Makazi
5. Kushamiri ajali za Barabarani
 
1. January kuzurura ovyo mikoan bila sababu ya msingi
2. Ongezeko dogo la mishahara kwa watumishi
3. Wabunge wote kuwa wa chama kimoja..
 
Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.

Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa.

Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde tume za kiuchunguzi kwa niaba ya wananchi
JAMBO NI MOJA TU LA IKULU KUKALIWA NA WAPUMBAVUU BASI
 
mfumuko wa bei za bidhaa na malighafi mafuta ikiwa mzizi mkuu
aise na iii kitu inaitwa tozo yerewiiiii
 
Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.

Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa.

Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde tume za kiuchunguzi kwa niaba ya wananchi
Bunge gani lenye uthubutu wa kuunda kamati ya uchunguzi na kwa nia gani yenye tija wakati wote ni wapiga zumari za kusifia uovu.
 
Back
Top Bottom