Tamisemi Ina madudu mengi Sana. Waweke hata maoni Kwa njia za electronicPamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.
Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa.
Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde tume za kiuchunguzi kwa niaba ya wananchi
Ndio uyataje maduduTamisemi Ina madudu mengi Sana. Waweke hata maoni Kwa njia za electronic
JAMBO NI MOJA TU LA IKULU KUKALIWA NA WAPUMBAVUU BASIPamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.
Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa.
Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde tume za kiuchunguzi kwa niaba ya wananchi
Bunge gani lenye uthubutu wa kuunda kamati ya uchunguzi na kwa nia gani yenye tija wakati wote ni wapiga zumari za kusifia uovu.Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.