Tutaje tozo ambazo zimependekezwa kwenye msaada wa bajeti ambazo zinaweza leta maumivu Ili zirekebishwe kabla ya vilio kusikika kuanzia July 1

Mimi naona hiyo wako sawa Kwa sababu wamesema inalenga kuleta usawa kati ya wanaotumia Mafuta na gesi.

Hata hivyo bei ya gesi Iko chini sana hata wakiongeza hiyo 380 haitafika 2,000 kwa Lita .

Mwisho wamesema ni hela ya mfukonwa Barabara.
Nchi hii linaongozwa na watu wajinga sana. Agenda ya dunia sasa hivi ni kupunguza hewa ya ukaa, sasa wanapopandisha bei ya gesi asilia maanake wanataka watu wasihamasike kubadili mifumo ya gari kwenda kwenye matumizi ya gesi asilia. Sasa hivi wana-test wakiona raia wanahimili hiyo bei mwakani wataongeza tena na muda si mrefu italingana na bei ya mafuta! Wangekuwa na akili tena wangepunguza bei ya gesi asilia ili nchi nzima tutumie gesi asilia badala ya mafuta na hapo tungeokoa fedha za kigeni!
 
Bei itapanda ila haiwezi kuwa sawa na Mafuta lazima iwe chini Ili kuwezesha Uhamiaji.

Asante Kwa kushiriki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu naunga mkono hoja yako wanaposema wanaongeza Kodi ili ilingane na Mafuta kwangu Mimi hii ni kauli ya kipumbavu kwa sababu mpaka sasa sisi Wananchi tunalalamika bei ya Mafuta ipo juu sasa wao wanaotaka na bei ya gesi iwe juu vilevile?
Badala ya kutafuta njia ya kumpunguzia makali ya maisha Mwananchi wa chini wao wanatafuta njia ya kumuongezea maumivu
 
Hadi umenunua gari manake wewe una kipato ,Wacha kelele πŸ˜‚
 
Mama anakopa kujenga madarasa kwa ushauri wa Dr mchumi mwigulu. ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…