Jukwaa la siasa nagawaga like kama zote maana kuna vichwa balaa.
Ila kuliko nimpe mtu wa ccm like yangu bora niwape
zero IQ na gudume!..acha ipotee
Young kilimanjaro
So?Kuna watu ambao hata Kama sijaelewa alichoandika au sikubaliani naye lakini lazima nimpe tu like [emoji106]..kwa jinsi tu wanavyowasilisha wananishawishi Sana.nashindwa kabisa kuwanyima like
1.paschal mayala
2.nokia83
3.mshana Jr
4.mo11
Kwangu Mimi hizo ndo ID ambazo chochote watakachosema Mimi fasta tu like Kama zote [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Genta makini san san nMkubali pia..sema matusi tu..!hahahaha..anajua kuchamba balaaGENTAMYCINE , mimi huyu jamaa huwa simuwazi yaani like fasta japo watu hua wanamchukulia easy hadi kuna jamaa alileta thread ya kumdhihaki ila ni mtu mmoja makini sana.
GENTAMYCINE , mimi huyu jamaa huwa simuwazi yaani like fasta japo watu hua wanamchukulia easy hadi kuna jamaa alileta thread ya kumdhihaki ila ni mtu mmoja makini sana.
Genta makini san san nMkubali pia..sema matusi tu..!hahahaha..anajua kuchamba balaa
Endapo tu ukinichokoza ( ukijaa vizuri katika Frame ) ila Mimi ni Mtu mmoja Mstaarabu na Muungwana huwezi amini Mkuu hata Maulana / Mola / Muumba ni ' Shahidi ' wa haya maneno ' ninayoyasadiki ' hapa Kwako / Kwenu.
Kwanini mkuu?
Manengelo fafanua vizuri nikuelewe basi.ukisikia defn ya dunia rangi rangile ndo inaaply hapaπππ
Manengelo fafanua vizuri nikuelewe basi.
OkDUNIA TAMBARA BOVU
Wapi "simiyu yetu"???Alikimbiza Sana kwa makapuku sijui kapotelea wapi.
ananiboa na misifa yake ya kisukuma. Alimnaniliuu Miss Natafuta, dunia nzima ikajua
πππananiboa na misifa yake ya kisukuma. Alimnaniliuu Miss Natafuta, dunia nzima ikajua