Tutajie JF members wa nne ambao kila mchango wao lazima wale like [emoji106] yako

Tutajie JF members wa nne ambao kila mchango wao lazima wale like [emoji106] yako

Kuna watu ambao hata Kama sijaelewa alichoandika au sikubaliani naye lakini lazima nimpe tu like [emoji106]..kwa jinsi tu wanavyowasilisha wananishawishi Sana.nashindwa kabisa kuwanyima like
1.paschal mayala
2.nokia83
3.mshana Jr
4.mo11
Kwangu Mimi hizo ndo ID ambazo chochote watakachosema Mimi fasta tu like Kama zote [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
So?
 
GENTAMYCINE , mimi huyu jamaa huwa simuwazi yaani like fasta japo watu hua wanamchukulia easy hadi kuna jamaa alileta thread ya kumdhihaki ila ni mtu mmoja makini sana.

Akhsante Mkuu kwa ' Credits ' zako Kwangu, Mwenyezi Mungu akubariki na nimezipokea kwa mikono yote miwili ila nashangaa mpaka sasa hii ' ID ' yako haijasemwa kuwa ni Mimi GENTAMYCINE mwenyewe na kwamba hapa najipigia ' Promo ' kama ilivyozoeleka. ' ID's ' zote ambazo huwa zinamsifia / zinamkongole / zinampongeza GENTAMYCINE huwa zinaambiwa ni zake ( zangu ) ila zile ambazo huwa zinanidhihaki na kunichamba huwa hazihusishwi nami kabisa.
 
Genta makini san san nMkubali pia..sema matusi tu..!hahahaha..anajua kuchamba balaa

Endapo tu ukinichokoza ( ukijaa vizuri katika Frame ) ila Mimi ni Mtu mmoja Mstaarabu na Muungwana huwezi amini Mkuu hata Maulana / Mola / Muumba ni ' Shahidi ' wa haya maneno ' ninayoyasadiki ' hapa Kwako / Kwenu.
 
Back
Top Bottom