Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 127
- 251
Wakuuu, Habari zenu, Binafsi nimejifunza mengi hapa Jamii forums kupitia machapisho au Nyuzi za hapa JF, ziko nyingii za miaka na miaka, nyingine zina burudisha, kufundisha nk.
Leo hebu tutajiane ni uzi upi uliupenda sana hapa JF, na uliandikwa na nani kama unamkumbuka ututajie itapendeza sana. Wengine hawana muda mrefu hapa JF hivyo utawasaidie kupata nyuzi nzuri za miaka ya nyuma na wao kujifunza na kutokukosa uhondo huo..[emoji3577].
Nafikiri kila baada ya mwezi tupate uzi bora wa mwezi huo, hii inaweza leta chachu na ubora ktk kuandika mambo yanayoweza kutusaidia ktk maisha ya kila siku.