@PRONDO, Wazee wa Road Trip Mpo?,uzi unaopata latest na live informations kuhusiana na road trips, member anasafiri ndani ya T1 now, na anatuma anachokiona na kukumbana nacho barabarani kwa wakati huo, nyuzi nyingi humu ni kama history zinakua zimeshapoa,karibuni msome uzi huu, Wazee wa Road Trip mpo?by @Prondo