emailpassword
Member
- Jun 15, 2017
- 99
- 92
Kule kuna post mnataka kufanya get together party ya JF VINYWAJI FREEkuna pipo zinajikutaga founder za jf nyingine sijui lejendare, nyingine kila kitu zinajua, nyingine it expert, nyingine love doctors, nyingine zimefika kila nchi kama vasco dagama, nyingine zimepiga kila demu yani zenyewe playboy, nyingine zenyewe bingwa za matusi(wakati hakuna tusi jipya duniani) ,nyingine bingwa za kudakia mambo, kujaji, kuchamba, yani full kujitia ujuaji tu hata kuelekezwa hazitaki hata zikikosea zitagi hapa tuzione, tuzipe heshima zao.nawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anasema walisha pata eneo Dar....Kule kuna post mnataka kufanya get together party ya JF VINYWAJI FREE
Sent using Jamii Forums mobile app
ama business man mkuu, silali kama sahivi nipo dom hapa kama kuna yeyote yupo dom tuonane before sijaondokaHapo anasema walisha pata eneo Dar....
Wakati jana tu, alikuja na post akisema kwamba yeye anapatikana mtwara...[emoji2] [emoji2]
Jf bhana.........[emoji13] [emoji13]
exactlyKule kuna post mnataka kufanya get together party ya JF VINYWAJI FREE
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo anasema walisha pata eneo Dar....
Wakati jana tu, alikuja na post akisema kwamba yeye anapatikana mtwara...[emoji2] [emoji2]
Jf bhana.........[emoji13] [emoji13]
Naona anania ya kuziona live hizo pipozi alizozitaja hapaKule kuna post mnataka kufanya get together party ya JF VINYWAJI FREE
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Dom mitaa ipi?ama business man mkuu, silali kama sahivi nipo dom hapa kama kuna yeyote yupo dom tuonane before sijaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
naam hao nataka tuwape first priority watasaidia sanaNaona anania ya kuziona live hizo pipozi alizozitaja hapa
area d mkuuUpo Dom mitaa ipi?
mod ni mhenga hanaga makuu hayoKwahiyo ubataka mm nile Ban eeh huyo ni mod ohooo
Minipo area C, karibu sana na NAM Hotel.area d mkuu