tutajie wajuaji waJF waliokubuhu

tutajie wajuaji waJF waliokubuhu

emailpassword

Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
99
Reaction score
92
kuna pipo zinajikutaga founder za jf nyingine sijui lejendare, nyingine kila kitu zinajua, nyingine it expert, nyingine love doctors, nyingine zimefika kila nchi kama vasco dagama, nyingine zimepiga kila demu yani zenyewe playboy, nyingine zenyewe bingwa za matusi(wakati hakuna tusi jipya duniani) ,nyingine bingwa za kudakia mambo, kujaji, kuchamba, yani full kujitia ujuaji tu hata kuelekezwa hazitaki hata zikikosea zitagi hapa tuzione, tuzipe heshima zao.nawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kuna post mnataka kufanya get together party ya JF VINYWAJI FREE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom