Tutakukumbuka Mzalendo ambaye hukupenda kusikia ukweli na hoja kinzani

Aiseeeee
 
Ulikuwa ni uzalendo wa aina yake na wa kwake pekee. Maajabu, leo hii watu wote wapo kimya.
Waliosifu wamebaki wakiinamisha vichwa kwa aibu, wengine wakila matapishi yao.
Tujiandae kupokea chanjo ya korona
 
Dictator Joseph Stalin alikuwa anajiita Koba meaning man of steel. Hawa watu wanapendaga kujiita majina ya kibabe waonekane kama immortal. Na kitu Koba wetu alifanikiwa kabisa kuwafanya wajinga wamuone immortal hakuna aliyeamini amekufa daadeki.

Ilipofika ile aaa kumi na mbili jioni mazishi yalipoisha watu wakaanza kuzagaa kama kuni ndio niliamini yametimia maana hata mie sikuwa naamini. Nilikuwa na joy and fear asije kuinuka mule kwenye jeneza ukasikia murizani nimekufa mabeberu nyie (in Koba's voice) πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Alale panapomstahili.
 
Tukimkumbuka magufuli lazima ukweli usemwe huwezi kubadilisha historia ya mtu ulioyaandika ni ukweli mtupu umesahau na benki kuu kamuweka mtu hata hana taaluma ya mambo ya fedha ili amuwendeshe anavyotaka tumshukuru mungu kwa hatua aliyoichukuwa.
 
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti kubwa usiku huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Daa, jamaa alikuwa anaumiza jamii kwa mgongo wa uzalendo
 
Jamaa alitisha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapinzani nchi nzima walikosea taratibu za uchaguzi km kujaza fomu nk... jamani hata soni hakuwa nayo..... alafu anamaliza kwa kusema "Mniombee"...hakika Mungu yupo akaona isiwe tabu ngoja nikupumzishe.....Pumzika kwa Amani JPM nyuma yako mbele yetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…