Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia.
Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha
View attachment 3052731
Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na Dragons plus matunda yake. Pixie ni machungwa seedless ambayo ni cross ya Tangarine na Sweet Oranges, ni matunda yanayo weza zalishwa kwa ajili ya export kwa sababu pia na Tanzania tuna Import kutoka South Africa na Egypt.
View attachment 3052732
Kama una shamba ukanda wa machungwa kama kule Muheza jaribu Pixie au Tangarine.