Tutakuwa wapumbavu tukiukataa utanganyika wetu wakati wajukuu wa mkoloni wanadai uzanzibari..

Tutakuwa wapumbavu tukiukataa utanganyika wetu wakati wajukuu wa mkoloni wanadai uzanzibari..

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,944
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!
 
Hili Somo ungepata fursa ukawashushia wazee wa CCM Kamati Kuu, Halmashauri Kuu watakuelewa, Kwa mwenendo huu naona unaelekea Kuiasi CCM ambako uliwa kudai kuwa umerudi nyumbani baada ya kupotelea CHADEMA. Ebu tangaza nia tukusikie Kamanda wa zamani wa CHADEMA UK.
 
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!

nlikuwa nakuheshim sana ila leo nimekutoa thamani lo! yaan kumbe bdo mjinga kias chte hcho
 
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!

Kasome historia kabla ya kuleta upuuzi wako!
 
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!

Sasa unaanza kupevuka
 
mkuu upo sahihi kabisa! Ila ni ujinga wa weusi wachache na waarabu koko ambao wanajiona kuwa ni waarabu, wazawa wa zanzibar si waarabu ni weusi! Kama wanataka haki ya uarabu basi wakaiombe huko Yemen! Ningekuwa kiongozi zama hizo ningeshaifanya mkoa kitambo tu!
 
Kweli hata saa mbovu kuna mda inasema ukwel,hongera Lukos
 
Lukosi wakati mwingine ukon kama mvua za vuli ambayo huwezi kujua itanyeshea wapi. Ujumbe huu mfikishie Mwigullu na kamati kuubya CCM. Kimsingi ndiyo maana tunahitaji kura ya siri, naamini hata wewe Lukosi ungekuwa bungeni kupitia CCM usingesema haya sana ungeongea kama Serukamba au Lusinde
 
Mmmmh, wonders shall neve end! Ni wewe chillsosi au mwingine? Makada wa magamba hua mnasifia kila kitu toka kwenye chama chenu, leo imekuaje? Posho imechelewa nini kufika huko!?
 
Enyi kizazi cha leo mjiitao wa-Afrika, ni nani wakati wa ujima walikaa wakakubaliana pande hili la ardhi la bara hadi pwani liitwe Tanganyika? Pande hili ambalo Wajerumani walilipima, wakachora ramani yake, wakaliita 'German East Africa' Kisha kwa wivu wajerumani wasiwe na nguvu duniani wakawanyang'anya na kuliita Tanganyika unajivuniaje leo eti ndio asili yako? Nasema asili yetu ni Tanzania, ni maamuzi yetu kupinga mipaka ya kuwekewa na wakoloni kwa kigezo cha kutugawa ili watutawale sasa wanarudi wa-Afrika wenzetu waroho wa uongozi wanataka kutugawa tena ili wapate uongozi kisa 'asili yetu'. Asili yetu Nyanyembe, Ngoni, Hehe, Chagga bai tudai hizo!!!
 
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!

Mtu mzima kama wewe kuandika uharo kama huu haipendezi!
 
Lukosi kishauri chama chama kikae na zanzibar na wao wakubali kulipoteza jina lao tuanze moja.hapo idadi yoyote ya serikali wanayoitaka tutaikubali
 
Enyi kizazi cha leo mjiitao wa-Afrika, ni nani wakati wa ujima walikaa wakakubaliana pande hili la ardhi la bara hadi pwani liitwe Tanganyika? Pande hili ambalo Wajerumani walilipima, wakachora ramani yake, wakaliita 'German East Africa' Kisha kwa wivu wajerumani wasiwe na nguvu duniani wakawanyang'anya na kuliita Tanganyika unajivuniaje leo eti ndio asili yako? Nasema asili yetu ni Tanzania, ni maamuzi yetu kupinga mipaka ya kuwekewa na wakoloni kwa kigezo cha kutugawa ili watutawale sasa wanarudi wa-Afrika wenzetu waroho wa uongozi wanataka kutugawa tena ili wapate uongozi kisa 'asili yetu'. Asili yetu Nyanyembe, Ngoni, Hehe, Chagga bai tudai hizo!!!

germany east africa including rwanda na burundi! unajua hiyo, Tanganyika, Rwanda na Burundi existed before, Unaaminishwa uongo wewe! Laazima Tanganyika irudi kwa maendeleo yetu Watanganyia otherwise kila mtu ataendelea kujihisi foreigner na matokeo yake ni kuiibia nchi na kuifisidi!
 
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!

Mtu yeyote anayedai Tanganyika mimi namuunga mkono kwa asilimia zote. Tupaze sauti tutasikika tu..
 
Ndugu zanguni

Naomba mjiulze

Mtu mweusi asili yake wapi?

Na muarabu asili yake wapi?

Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?

Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?

JITAMBUE!
Unaanza kidogo kupata akili.
 
Back
Top Bottom