Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
germany east africa including rwanda na burundi! unajua hiyo, Tanganyika, Rwanda na Burundi existed before, Unaaminishwa uongo wewe! Laazima Tanganyika irudi kwa maendeleo yetu Watanganyia otherwise kila mtu ataendelea kujihisi foreigner na matokeo yake ni kuiibia nchi na kuifisidi!
Tuelimishe jina lilaletaje hayo unayoyaita maendeleo. Kama hayapanikani kwa jina la sasa yatapatikaje kwa kubadili jina? Je kwa maelezo yako tuidai Rwanda na Burudi sasa kama sehemu ya asili yetu?