Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
germany east africa including rwanda na burundi! unajua hiyo, Tanganyika, Rwanda na Burundi existed before, Unaaminishwa uongo wewe! Laazima Tanganyika irudi kwa maendeleo yetu Watanganyia otherwise kila mtu ataendelea kujihisi foreigner na matokeo yake ni kuiibia nchi na kuifisidi!
Ndugu zanguni
Naomba mjiulze
Mtu mweusi asili yake wapi?
Na muarabu asili yake wapi?
Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?
Kwa nini wewe mtanganyika unakubali upumbavu kama huu?
JITAMBUE!
Mtu mzima kama wewe kuandika uharo kama huu haipendezi!

Hivi ni kwa nini nyie huwa mnajiona mna haki ya kuongea lolote na kupiga mayowe wakati wengine wakisema mnaona wamekiuka?Mtu mzima kama wewe kuandika uharo kama huu haipendezi!
Tuelimishe jina lilaletaje hayo unayoyaita maendeleo. Kama hayapanikani kwa jina la sasa yatapatikaje kwa kubadili jina? Je kwa maelezo yako tuidai Rwanda na Burudi sasa kama sehemu ya asili yetu?