Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Habari wana JF?
Naandika hii thread nikiwa na machungu sana, hii ni kutokana na tukio lilitokea hivi karibuni. Ukithimuliwa unaweza hisi halitaweza kukutokea, lakini lipo na linazidi kuwapo.
Mke wangu alituma maombi ya kazi kwenye taasisi moja kubwa tu hapa nchini (naomba nisiitaje kwa leo) miezi kadhaa iliyopita.
Mungu mkubwa, aliitwa kwenye interview wiki chace zilizopita, kahudhuria vizuri interview na kuondoka eneo lile kuendelea na shughuli zake zingine. Ile kufika jioni kama saa kumi na moja akapigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwamba ni miongoni mwa waliomuinterview na akamuomba waonane jioni ile ile na akaelekezwa pa kumuona huyo mtu.
Kweli alikwenda kwenye eneo la tukio (ni kwenye hotel) alikoelekezwa na kumuona yule mtu na alimkumbuka vzr tu na yule mtu akamuambia amefanya vzr sana interview yake but INAMBIDI ATEMBEE NAYE KIMAPENZI ILI KUMHAKIKISHIA HIYO NAFASI YA KAZI.
Wife yeye alikataa na kuondoka na akaambiwa kabisa na yule jamaa kuwa hutakaa upate kazi kwenye hiyo taasisi mpaka nakufa!!!
Ingawa nilimlaumu wife kwa kukaa kimya muda ule kwamba tungemchoma PCB lakini bado nauliza tena hili tatizo hili tutalimaliza vipi jamani.
Kazi siku hizi kupata ni undugu au wanawake watoe rushwa za ngono, TUNAKWENDA WAPI?