Tutalimaliza Vipi hili Tatizo...????

Tutalimaliza Vipi hili Tatizo...????

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Habari wana JF?

Naandika hii thread nikiwa na machungu sana, hii ni kutokana na tukio lilitokea hivi karibuni. Ukithimuliwa unaweza hisi halitaweza kukutokea, lakini lipo na linazidi kuwapo.

Mke wangu alituma maombi ya kazi kwenye taasisi moja kubwa tu hapa nchini (naomba nisiitaje kwa leo) miezi kadhaa iliyopita.

Mungu mkubwa, aliitwa kwenye interview wiki chace zilizopita, kahudhuria vizuri interview na kuondoka eneo lile kuendelea na shughuli zake zingine. Ile kufika jioni kama saa kumi na moja akapigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwamba ni miongoni mwa waliomuinterview na akamuomba waonane jioni ile ile na akaelekezwa pa kumuona huyo mtu.

Kweli alikwenda kwenye eneo la tukio (ni kwenye hotel) alikoelekezwa na kumuona yule mtu na alimkumbuka vzr tu na yule mtu akamuambia amefanya vzr sana interview yake but INAMBIDI ATEMBEE NAYE KIMAPENZI ILI KUMHAKIKISHIA HIYO NAFASI YA KAZI.

Wife yeye alikataa na kuondoka na akaambiwa kabisa na yule jamaa kuwa hutakaa upate kazi kwenye hiyo taasisi mpaka nakufa!!!

Ingawa nilimlaumu wife kwa kukaa kimya muda ule kwamba tungemchoma PCB lakini bado nauliza tena hili tatizo hili tutalimaliza vipi jamani.

Kazi siku hizi kupata ni undugu au wanawake watoe rushwa za ngono, TUNAKWENDA WAPI?
 
kweli alikosea sana kunyamaza kimya.....angesema mapema na mkawasiliana na Takukuru hilo lingekuwa fundisha kwa wengine wenye tabia kama hiyo.....kuna miwatu ina tabia mbaya sana
 
Habari wana JF?

Naandika hii thread nikiwa na machungu sana, hii ni kutokana na tukio lilitokea hivi karibuni. Ukithimuliwa unaweza hisi halitaweza kukutokea, lakini lipo na linazidi kuwapo.

Mke wangu alituma maombi ya kazi kwenye taasisi moja kubwa tu hapa nchini (naomba nisiitaje kwa leo) miezi kadhaa iliyopita.

Mungu mkubwa, aliitwa kwenye interview wiki chace zilizopita, kahudhuria vizuri interview na kuondoka eneo lile kuendelea na shughuli zake zingine. Ile kufika jioni kama saa kumi na moja akapigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwamba ni miongoni mwa waliomuinterview na akamuomba waonane jioni ile ile na akaelekezwa pa kumuona huyo mtu.

Kweli alikwenda kwenye eneo la tukio (ni kwenye hotel) alikoelekezwa na kumuona yule mtu na alimkumbuka vzr tu na yule mtu akamuambia amefanya vzr sana interview yake but INAMBIDI ATEMBEE NAYE KIMAPENZI ILI KUMHAKIKISHIA HIYO NAFASI YA KAZI.

Wife yeye alikataa na kuondoka na akaambiwa kabisa na yule jamaa kuwa hutakaa upate kazi kwenye hiyo taasisi mpaka nakufa!!!

Ingawa nilimlaumu wife kwa kukaa kimya muda ule kwamba tungemchoma PCB lakini bado nauliza tena hili tatizo hili tutalimaliza vipi jamani.

Kazi siku hizi kupata ni undugu au wanawake watoe rushwa za ngono, TUNAKWENDA WAPI?
pole sana
 
da, wanawake tuna tabu sana. je wanaume huwa mnaombwa nini?
mimi pia kuna jizee moja liliniletea za hivo nikaliambia hiyo kazi wacha ikae, siitaki tena.
 
Wanaume wanaangaliana undugu sana, inauma kwa kweli!! Mtu unasoma kwa tabu ukitegemea angalau hiyo elimu ikukomboe then unakatishwa tamaa na MAFISI.
 
<br />
<br />
wanaume wanaombwa rushwa ya pesa kwa wale wasio na ndugu. Lakini suala la kukataa ni jema sana na anastahili hongera maana angeolewa tena huko kazini. Wengi tukikataa haya yataisha. Ila pia kuficha jina la kampuni ni kuendelea kustahi/kuficha uozo ilhali kuwa uozo haufichi, tayari unanuka huo.
 
kweli hiyo mbaya,tunahitaji kufichua uovu namna hiyo.wake zetu watauwa hawaajiliwi,sikubali ujinga huu milele
 
Pole sana mkuu na mpe pole sana wife.... ingawaje amefanya kosa kubwa kutokusema mapema ili mmuunganishe takukuru... kweli serikalini tuna wazee ambao hawako pale kwa kufanya kazi bali kuleta usumbufu na kuiba tu hela za umma na mpaka hao watakapoondoka ndio nchi itakapoweza kupiga hatua!!!!
 
Mshukuru Mungu kwamba una mke mzuri tena mwenye msimamo. Pole sn kwa tukio. Nafikiri kuondoa tatizo hili ungeitaja tu taasisi husika ili ifanyiwe kazi. Wangejichuja tu mpk wamgemtoa huyo anaewachafua. Kaka weka hadharani mi nawapenda sana wa2 kama hao, tunawachafua kwenye 'wall' yao mpaka waache.
 
Pole jirani, Dunia hii imejaa wapumbavu wengi, elimu zao zimekuwa ni tatizo kwenye jamii, cha msingi akibainika mtu kama huyo nikumuweka hadharani kama baadhi ya wana JF walivyo sema. Wife kazi atapata akaze uzi cha msingi akitokea mwingine sampuli ya huyo, awekwe hadharani na kampuni yake
 
Habari wana JF?

Naandika hii thread nikiwa na machungu sana, hii ni kutokana na tukio lilitokea hivi karibuni. Ukithimuliwa unaweza hisi halitaweza kukutokea, lakini lipo na linazidi kuwapo.

Mke wangu alituma maombi ya kazi kwenye taasisi moja kubwa tu hapa nchini (naomba nisiitaje kwa leo) miezi kadhaa iliyopita.

Mungu mkubwa, aliitwa kwenye interview wiki chace zilizopita, kahudhuria vizuri interview na kuondoka eneo lile kuendelea na shughuli zake zingine. Ile kufika jioni kama saa kumi na moja akapigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwamba ni miongoni mwa waliomuinterview na akamuomba waonane jioni ile ile na akaelekezwa pa kumuona huyo mtu.

Kweli alikwenda kwenye eneo la tukio (ni kwenye hotel) alikoelekezwa na kumuona yule mtu na alimkumbuka vzr tu na yule mtu akamuambia amefanya vzr sana interview yake but INAMBIDI ATEMBEE NAYE KIMAPENZI ILI KUMHAKIKISHIA HIYO NAFASI YA KAZI.

Wife yeye alikataa na kuondoka na akaambiwa kabisa na yule jamaa kuwa hutakaa upate kazi kwenye hiyo taasisi mpaka nakufa!!!

Ingawa nilimlaumu wife kwa kukaa kimya muda ule kwamba tungemchoma PCB lakini bado nauliza tena hili tatizo hili tutalimaliza vipi jamani.

Kazi siku hizi kupata ni undugu au wanawake watoe rushwa za ngono, TUNAKWENDA WAPI?
Tunaomba sana Kampuni hiyo itajwe ili iwe fundisho....hawawezi kukusumbua maana wife wako alipigiwa simu na muda ambao cyo wa kzai so ushahidi bado upo palepale,,,,,nashauri utaje maana technolojia itawafunga wakileta ubishi,,,na pia naomba kama anaweza aende ILO kila kitu kitakwisha na tasaidiwa hata kutafutiwa ajira....tunataka wanawake Jasiri kama hawa ili nchi ikae sawa....so plz taja jina la Kampuni
 
Habari wana JF?

Naandika hii thread nikiwa na machungu sana, hii ni kutokana na tukio lilitokea hivi karibuni. Ukithimuliwa unaweza hisi halitaweza kukutokea, lakini lipo na linazidi kuwapo.

Mke wangu alituma maombi ya kazi kwenye taasisi moja kubwa tu hapa nchini (naomba nisiitaje kwa leo) miezi kadhaa iliyopita.

Mungu mkubwa, aliitwa kwenye interview wiki chace zilizopita, kahudhuria vizuri interview na kuondoka eneo lile kuendelea na shughuli zake zingine. Ile kufika jioni kama saa kumi na moja akapigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwamba ni miongoni mwa waliomuinterview na akamuomba waonane jioni ile ile na akaelekezwa pa kumuona huyo mtu.

Kweli alikwenda kwenye eneo la tukio (ni kwenye hotel) alikoelekezwa na kumuona yule mtu na alimkumbuka vzr tu na yule mtu akamuambia amefanya vzr sana interview yake but INAMBIDI ATEMBEE NAYE KIMAPENZI ILI KUMHAKIKISHIA HIYO NAFASI YA KAZI.

Wife yeye alikataa na kuondoka na akaambiwa kabisa na yule jamaa kuwa hutakaa upate kazi kwenye hiyo taasisi mpaka nakufa!!!

Ingawa nilimlaumu wife kwa kukaa kimya muda ule kwamba tungemchoma PCB lakini bado nauliza tena hili tatizo hili tutalimaliza vipi jamani.

Kazi siku hizi kupata ni undugu au wanawake watoe rushwa za ngono, TUNAKWENDA WAPI?

tutalimaliza kwa kufanya hiyo niliyoi hailight na wino mwekundu.

ilaa, me nilijua mkeo ni "binti juzi"
 
wengine hata baada ya kupata ajira wanasumbuliwa sana hata kutishiwa kufukuzwa kazi, akimpa akionja anamgeuza mke wake wa ofisini.
 
Back
Top Bottom