Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
-
- #21
Sawa Mi mjinga sijui,wewe unajua zaidi.....kwamba Trump alikuwa anakosea kutokuwapa nafasi mashoga ni vibaya kwasababu wapo? Kuwepo mashoga Tz ni sababu yakutoona Trump alifanya vizuri kwenye jambo hilo? Biden kuteua Shoga kama ivyo kwako ni sawa tu?Mkuu ujinga ni kutokujua kitu, siyo tusi
Nimekupa tu upana wa tatizo la ushoga, kuepusha sijui kumpongeza huyo Trump sijui kafanya nini.....
Inawezekana wamechukua hiyo hiyo moja!
CDM ishakufaChadema ndio chama kikuu cha upinzani
Yes Chadema kama chama Kimekufa ila wapo mmoja mmoja tu..we umeshawahikuona chadema wapi.Chadema ipi tena wakati mataga mlisema Chadema imefutika??
Sasa kwanini mataga mnajiharishia kama chadema hawapo tena?Yes Chadema kama chama Kimekufa ila wapo mmoja mmoja tu..we umeshawahikuona chadema wapi.
Chadema ilishakufa imebaki Bawacha ya kina Mzee. ..Hao ndio wanaojinasibu kidooogosasa kwanini mataga mnajiharishia kama chadema hawapo tena??
Hao ndiyo wanasababisha mataga mnajiharishia?Chadema ilishakufa imebaki Bawacha ya kina Mzee. Hao ndio wanaojinasibu kidooogo
Inawezekana nawe ni member , who knows! Hawa wamekuwa barave kusema hadharani, Pwani (nawe ni wa Pwani) mnfanya sana tena sana! Tanga, Dar, Lindi, Mtwara, Mombasa.....We endelea kuliwa jicho
Ni lini Trump alishwahi kuwapinga mashoga?Sawa Mi mjinga sijui, wewe unajua zaidi, kwamba Trump alikuwa anakosea kutokuwapa nafasi mashoga ni vibaya kwasababu wapo? Kuwepo mashoga Tz ni sababu yakutoona Trump alifanya vizuri kwenye jambo hilo? Biden kuteua Shoga kama ivyo kwako ni sawa tu?
Khaaa we mwehu kweli...wanaojiharishia sio kina Mbowe na Mnyika,. Wanataka kutoana meno na bawacha..huku fungu la ruzuku wanalikubali ambalo linatokana na wakina mama walehao ndiyo wanasababisha mataga mnajiharishia?
Heche anakupa tabu sana.Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kama hutaki kunywa kisusio ufe!
Kuwazuia waislamu je kuingia marekani? Ushoga umo ndani ya damu ya wamarekani wengi, Trump ulikuwa msimamo wake lakini usijekushangaa mtoto wake pengine analiwa kunde na anajuwa fika.,Pamoja na mapungufu yake Trump, ila huu upuuzi na laana haukuwa na nafasi kwenye Serikali yake.
Member mzoefu kama wewe kutojua taratibu za ruzuku za vyama Uzuzu. Nccr wamepewa ruzuku kwa mbunge gani wa viti maalum?Khaaa we mwehu kweli...wanaojiharishia sio kina Mbowe na Mnyika,. Wanataka kutoana meno na bawacha..huku fungu la ruzuku wanalikubali ambalo linatokana na wakina mama wale
Chadema sasa hakiwezi kuwa chama kikuu cha upinzani, kimebugi step, Lissu ameiparaganya sana Chadema kila alichofanya hakufanikiwa, hana msimamo, mara alisema haji Tz kwa sababu hana ulinzi lakini kwa urais alihiyari kufa lakini aje agombee, gafla kakimbilia ubalozi eti anataka kuuliwa lakini ule mpango ulifeli na haukuwa na impact kwa mataifa, sasa anawaongoza wanachadema kupitia Youtube za mitandaoni.Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kama hutaki kunywa kisusio ufe!
Mimi naona mnasumbuka tu hapa.Pamoja na mapungufu yake Trump, ila huu upuuzi na laana haukuwa na nafasi kwenye Serikali yake.
Kwamba wamefurahi sana kwa mpinga ushoga kuondoka.??!Chadema wamefurahia kuondoka kwa Trump!