STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Acha uongo mtoa mada, lini tramp kapinga ushoga?? Unataka umpambe humu, supporter wa tramp wengi ni wale white hater ambao wengi wao ni mashoga, Israel inaongoza kwa ushoga duniani ndio miongoni mwa sababu Tramp anawasuport sana