Tutampoteza Fei Toto kwa kivuli cha Mkude

Tutampoteza Fei Toto kwa kivuli cha Mkude

Fei Toto hawazi kulinganishwa na vitu vya ovyo ovyo.
 
Hata kama Yanga wangekuwa na game plan ya kufunguka bado Fei Toto asingecheza mpira. Mkude pale Kati hakuna wa size yake, anakaba na anapeleka mpira mbele.
Mkude ni kiungo mkabaji zaidi. Fei ni kiungo mwenye mwelekeo wa kushambulia zaidi. Ndiyo maana siku ya Yanga na Simba, Fei hakung'ara kwa sababu game plan haikumruhusu.
Haileti maana kuwalinganisha haws wawili.
 
Mkude ni kiungo anaeongoza kwa kupiga pass nyingi nyuma ya goal lake kuliko pass za kuwalisha forward zake
Defensive midfield, lakini pia anaonekana mashambulizi mbele ndio maana Simba ni timu inayoshambulia zaidi kuliko kudefend, refer mechi ya Simba na Yanga, lazima upaki semi trailer
 
Hata kama Yanga wangekuwa na game plan ya kufunguka bado Fei Toto asingecheza mpira. Mkude pale Kati hakuna wa size yake, anakaba na anapeleka mpira mbele.
Hata kama ni supposition. HAtuwezi kujua ukweli hadi itokee
 
Back
Top Bottom