Tutanue mapafu kidogo

futa hiyo wanyakyusa hatuweki chochote mtu akifa zaidi ya jeneza lake japo wachaga kwa pesaaaaaaaa
 
Hapo noma ni yupi? Fikiri, badala ya kuwapa walio achwa hiyo fweza mnampa marehemu kana kwamba huko aendako wanatumia fweza ya madafu?? Heko mchaga kwa mawazo mazuri. Aende na check huko kama kuna crdb
 
hhahhahahha mind over money.tisha sana kimaro,massawe,chuwa,kimario,mangi,mushi,lymo,mosha,lauo,meku,ndekufanya......
 
Hii joke inaonesha wachagga ni watu wenye akili...kwa nini nasema hivyo?
Wanyakyusa wamefikia chakula
Wakurya na wenzao wameweka pesa cash ...laki tatu
Mchagga kachukua pesa zote kaweka karatasi ya chq ambayo haina thamani.
 
Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya Mwendokasi.

Sipendagi ujinga mimi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hahaaaaah,!

Punnisher[emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…