Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
futa hiyo wanyakyusa hatuweki chochote mtu akifa zaidi ya jeneza lake japo wachaga kwa pesaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually 10 steps ahead hahahaaisee!! mchaga kwenye pesa yuko one step ahead!!
Kwakweli ndio maana nawapenda.Actually 10 steps ahead hahaha
Kumbe wewe mnyakyusa!futa hiyo wanyakyusa hatuweki chochote mtu akifa zaidi ya jeneza lake japo wachaga kwa pesaaaaaaaa
AmenKwakweli ndio maana nawapenda.
Najuta kuisoma kiwizi wizi nikiwa na boss.Ha ha ha
Rafiki ulipotea sana!Ha ha haaaa. Mangi katisha
Hahaaaaah,!Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya Mwendokasi.
Sipendagi ujinga mimi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]