Hehe hawa wachagga ni tatizooo fulll magumashiAache cheki Og! Thubutuuu labda sio mchaga
Hawa wakinga hawaingii hata kisude kwa akina SWEET MANGI[emoji2] [emoji2] [emoji2]hahahaha na wakinga wangekuwepo cjui wangesemaje hapo
Mbuta!sema haki ya mungu[emoji87] [emoji87] [emoji87] sehemu gani mee[emoji134] [emoji134]Wa hukohuko
mh kuizidi dusheeeeeeePesa tamu
Ha haa hata wakija nitawazidi ujanja kama walivofanyiwa na mangi hapoHapo sasa jamaa anacheza na fursa kila sehemu, kalamba 100,000/= ya mtani wangu na 200,000 ya ndg yangu, then wao kwa pamoja wakafurahia marehemu kupunguziwa mzigo wa kubeba mihera safarini na possibility ya kuibiwa na vibaka. Huenda alitamani pia achukue na viazi, michele nk ili kumpumhuzia marehemu mizigo. Lakini una utani na hao jamaa, maana wasije wakakufuata hata huko uliko? hahaaaaaaaaaaaaaa
Haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!...sijui nimecheka au nimeshangaaa.SIKUBALI KUUMIA PEKE YANGU, BORA
MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja
aliwaalika watu katika mazishi ya mama
yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia
ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku
kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini
hivyo?
Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu
sana, hivi atakula njiani
Mhaya akazama kwenye wallet, akatoa
laki 2, akaidondoshea akisema, 'vikiisha
hivyo atanunua vingine'. Mkurya mmoja
akadondoshea laki moja akasema,
Isipotosha ataongezea hii
Mchaga akatoa cheque book, akaandika
cheki ya laki 5, akachukua ile laki 3
kwenye kaburi na kuacha cheki akisema,
'bora ukachukue hela mbele ya safari kwa
cheki Vibaka wasijeWAKAKUUA bure/
Shikamoo _wachaga!!?????!!!!!
Yesuuu vipi pale pele mauwa vip ifati secondary unavuka?? Au wee uko juu kule kanisani unafika!!Mauwa
duuuuh pesa tamu kuliko vyote real?Tamu sana pesa
duuuuuh ngoja nisikie huenda una sababu kwanini unachagua hivo labda? mpaka usingizi pembeni kweli? kula?Ukinipa kuchagua pesa na dushe nachagua pesa halafu ndo dushe[emoji12]
ndiooooooo tena original kabisa wewe mchaga mpenda pesa umemuharibu valentina wanguKumbe wewe mnyakyusa!
ndiooooooo tena original kabisa wewe mchaga mpenda pesa umemuharibu valentina wanguKumbe wewe mnyakyusa!