Tutanue mapafu kidogo

Tutanue mapafu kidogo

Mchagga hapo AMEKWIBA mchana kweupe mbele ya waombelezaji bila kujali juwa lilipatwa kwao.
 
Hapo sasa jamaa anacheza na fursa kila sehemu, kalamba 100,000/= ya mtani wangu na 200,000 ya ndg yangu, then wao kwa pamoja wakafurahia marehemu kupunguziwa mzigo wa kubeba mihera safarini na possibility ya kuibiwa na vibaka. Huenda alitamani pia achukue na viazi, michele nk ili kumpumhuzia marehemu mizigo. Lakini una utani na hao jamaa, maana wasije wakakufuata hata huko uliko? hahaaaaaaaaaaaaaa
Ha haa hata wakija nitawazidi ujanja kama walivofanyiwa na mangi hapo
 
SIKUBALI KUUMIA PEKE YANGU, BORA
MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja
aliwaalika watu katika mazishi ya mama
yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia
ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku
kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini
hivyo?
Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu
sana, hivi atakula njiani
Mhaya akazama kwenye wallet, akatoa
laki 2, akaidondoshea akisema, 'vikiisha
hivyo atanunua vingine'. Mkurya mmoja
akadondoshea laki moja akasema,
Isipotosha ataongezea hii
Mchaga akatoa cheque book, akaandika
cheki ya laki 5, akachukua ile laki 3
kwenye kaburi na kuacha cheki akisema,
'bora ukachukue hela mbele ya safari kwa
cheki Vibaka wasijeWAKAKUUA bure/
Shikamoo _wachaga!!?????!!!!!
Haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!...sijui nimecheka au nimeshangaaa.
 
Ukinipa kuchagua pesa na dushe nachagua pesa halafu ndo dushe[emoji12]
duuuuuh ngoja nisikie huenda una sababu kwanini unachagua hivo labda? mpaka usingizi pembeni kweli? kula?

kuna vitamu zaidi ya pesa lete sababu
 
Back
Top Bottom