Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Ninapata hasira sana ukipenda pesa kuliko mimiHa haaa unataka uibue mada ee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapata hasira sana ukipenda pesa kuliko mimiHa haaa unataka uibue mada ee
haaaaaa sijitundiki ng'ooo ngoja nimtafute mwenzioNikuletee kamba ya mgomba ujitundike?
Mi niko chini yako kidogo pale lombeta!![emoji85] [emoji85]Maeneo ya sec[emoji1]
Haya mae ungyitafute[emoji85] [emoji85]Basi tutakutana Xmas huko[emoji1]
atoto mpenda peshaaaMwenzangu nani?
haaaa wewe wangu toka zamaniiiii ila shida moja tu kwako wa wengiiiiiiiiii foleni inabidi nivumilieeeee😛😛😛😛😛😛😛😛😛Kumbe unanipenda eeh!!!
Mchaga ni mwizi kwelikweliSIKUBALI KUUMIA PEKE YANGU, BORA
MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja
aliwaalika watu katika mazishi ya mama
yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia
ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku
kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini
hivyo?
Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu
sana, hivi atakula njiani
Mhaya akazama kwenye wallet, akatoa
laki 2, akaidondoshea akisema, 'vikiisha
hivyo atanunua vingine'. Mkurya mmoja
akadondoshea laki moja akasema,
Isipotosha ataongezea hii
Mchaga akatoa cheque book, akaandika
cheki ya laki 5, akachukua ile laki 3
kwenye kaburi na kuacha cheki akisema,
'bora ukachukue hela mbele ya safari kwa
cheki Vibaka wasijeWAKAKUUA bure/
Shikamoo _wachaga!!?????!!!!!
Aiseee!!haaaa wewe wangu toka zamaniiiii ila shida moja tu kwako wa wengiiiiiiiiii foleni inabidi nivumilieeeee😛😛😛😛😛😛😛😛😛