tutaonana september......

tutaonana september......

Safari njema...Uende salama na urudi salama kama ulivyo.
Take care wasikuaribu huko uendako.
 
baby unaondoka bila kuchukua ile bahasha yako ??
 
Mh.... hili sio famba la weekend?? Mh nakumbukia ile ya kunywa sumu....ngoja tuone maana huyu binti kakaa kikaole kaole hiviii
 
Mh.... hili sio famba la weekend?? Mh nakumbukia ile ya kunywa sumu....ngoja tuone maana huyu binti kakaa kikaole kaole hiviii
wewe jahazi nadhani
 
acha ukauzu wewe asilimia 99 ya rafiki zangu wapo jf...so kwangu ni big loss

Eh kwa hiyo 1% tu ya rafiki zako ndio wa mitaani hawako hapa..aisee kweli JF iko kwenye damu hapo nimekupata kabisa Hayaa all the best and goodluck
 
Hahahaha @smile mie nikajua kuna mahali unaenda kula good time ..kumbe bado tunabanana JF
 
uende salama, mungu akuongoze na kila jema
i hope tutameet tena humu jf
 
safiri salama Smile, usisahau kutuletea story za huko
 
Back
Top Bottom