Salamu wanajamvi,
Poleni na mishe za wiki zima na Longolongo za mjengoni:kev:,
Nimekaa nimetafakari hatua ya baraza Kurisiti na kutoa matokeo mapya , Kimsingi sijaona tija zaidi ya kutabiri kuwa kwa mara nyingine tena mwaka huu Tanzania itavunja rekodi za Dunia kwa kuwa na wanafunzi walio fauru Mtihani wa la 7 na form 4 bila kujua kusoma na kuandika.
Lets hope Baraza walikuwa makini
weekend Njema