Tutapata form V wasiojua kusoma na kuandika mwaka huu ????

Tutapata form V wasiojua kusoma na kuandika mwaka huu ????

Munru

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
1,340
Reaction score
666
Salamu wanajamvi,

Poleni na mishe za wiki zima na Longolongo za mjengoni:kev:,

Nimekaa nimetafakari hatua ya baraza Kurisiti na kutoa matokeo mapya , Kimsingi sijaona tija zaidi ya kutabiri kuwa kwa mara nyingine tena mwaka huu Tanzania itavunja rekodi za Dunia kwa kuwa na wanafunzi walio fauru Mtihani wa la 7 na form 4 bila kujua kusoma na kuandika.

Lets hope Baraza walikuwa makini

weekend Njema
 
siyo suluhisho ukweli utabaki palepale kuhusu elimu tz
 
Ndio tujue jinsi elimu inavozidi didimia lakini tusiwe anti-government sana kwa jambo hili huanda ni kwel form 4 wame deserve the second chance to chase!!!
 
Back
Top Bottom