St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
kama nilivyojibu hapo juu, asilimia kubwa hayo mambo huanzishwa na wanaume na wamefikia hatua ya kudanganya hata watoto na kuwarubuni kwa vijisenti vyao. nyie mna vijisenti, sie tuna Mungu. Mungu atatuponya tu ili nanyi mponywe kupitia kwetu na hatimaye dunia nzima iponywe. amen
Inaonesha una busara sana mama,hivi umeolewa wewe?