Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
kama nilivyojibu hapo juu, asilimia kubwa hayo mambo huanzishwa na wanaume na wamefikia hatua ya kudanganya hata watoto na kuwarubuni kwa vijisenti vyao. nyie mna vijisenti, sie tuna Mungu. Mungu atatuponya tu ili nanyi mponywe kupitia kwetu na hatimaye dunia nzima iponywe. amen
Nilifikiri matatizo yote yanaanzishwa na binadamu kumbe ni wanaume ndio chanzo? I wish wanaume wangekuwa wanafanya hayo mambo na viumbe tofauti. Bahati mbaya wanafanya na wanawake kwahiyo issue sio wanaume wala nini..issue ni binadamu wenyewe hatufai