Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

AIR FUCKING TEL, mawazo yao wanadhani tunatmia Bundle kuangalia porns which is also none of their business.
 
Naona ligi ya BPL..(Bundle Premier League) imechangamka sasa baada ya Mtanange wa kwanza!

VPN - TCRA (3-0)

Mechi Ziliofuata...

TCRA - MITANDAO (4-1)

MITANDAO - RAIA (4-0)

Hahaha bado league inaendelea lakini mambo matamu.
Ha ha ha! Kazi ipo.
 
Huu ushakuwa upumbavu sasa, tulizimiwa mitandao kipindi cha uchaguzi mkuu tukakaa kimya, vitu vinazidi kwenda shagala bagala tumekaa kimya tumeshaonwa mazuzu! ***** zao
 
Huyu rais anatumia nguvu nyingi badala ya akili. Anabana kodi kwa makampuni makubwa hajui kama makampuni hayo yanaleta hizo gharama zinazoongezwa kwa mtumiaji wa mwisho ambaye ni sisi wananchi wadogo
 
Bora huki mara 1000
 
Huu si utopolo bora nibakie na air tel the smartphone network.
 
Bado sijaona mtandao nafuu hapa bongo kuliko Airtel.

Ona kifurushi chao cha buku 1000 hicho.

Una Dak 100 za kupiga simu Airtel,Dak 10 kwenda mitandao yote,SMS 1000 na 1GB hadi 14-02-2021 18:22:15.Kujua salio piga *149*81#
 
Mimi natumia Airtel uwa najiunga vifurushi vya wiki au mwez Jana nashangaa naenda jiunga nakuta kifurushi Cha 20000 unapata gb 11 sikuamini macho yangu.
Nasubiri star link ifike afrika tuhamie huko maana internet ni 100$ mwez mzima speed ya kufa mtu mpaka mb 50/sec ping 52 milliseconds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…