BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
...mkuu mie natumia halotel, gb 1 kwa sh 1,000/ kwa wiki. Zamani mpaka mwaka jana November-December, speed ilikuwa nzuri sanaaa na hakukuwa na kukatika katika kwa mtandao..Lakini baada ya hapo, inakata sanaaaaa
Ongezea mnooooooHalotel kasi ya internet imepungua.
Aisee sijui nitafute line ya zantelzantel wankupa dk 20 sms 100 Gb 1= siku 30 kwa 1000
afu kwa 2000 ni mara mbili ya hapo na 5000 wanatoa gb 5 kwa mwezi.
uko ndo kwa kukimbilia...
Huu mtandao si nilisikia Tigo ndio wanaumiliki siku izi?zantel wankupa dk 20 sms 100 Gb 1= siku 30 kwa 1000
afu kwa 2000 ni mara mbili ya hapo na 5000 wanatoa gb 5 kwa mwezi.
uko ndo kwa kukimbilia...
Voda wamepandisha naoKaribu VODACOM TANZANIA huku vifurushi vyao vimechangamka kidogo
Mkuu kwa Tigo hamia postpaid kuna special treatmentTIGO ndio mtandao wa mwisho kwa bando na dakika 😡😡
Mimi natumia Airtel uwa najiunga vifurushi vya wiki au mwez Jana nashangaa naenda jiunga nakuta kifurushi Cha 20000 unapata gb 11 sikuamini macho yangu.
Nasubiri star link ifike afrika tuhamie huko maana internet ni 100$ mwez mzima speed ya kufa mtu mpaka mb 50/sec ping 52 milliseconds
Sijajua mkuu ngoja nije nifuatilie maana internet now ni muhmu Kama ukivyo umemeZuku fiber naskia wapo fresh au ni uzushi?
MnoooooOngezea mnoooooo
Jaribu leo ulete mrejesho kama bado iko hivyo hivyoBado sijaona mtandao nafuu hapa bongo kuliko Airtel.
Ona kifurushi chao cha buku 1000 hicho.
Una Dak 100 za kupiga simu Airtel,Dak 10 kwenda mitandao yote,SMS 1000 na 1GB hadi 14-02-2021 18:22:15.Kujua salio piga *149*81#
Huko ndo kumechangamka balaa yaan huko ni LITAKE LISITAKE...........................Voda wamepandisha nao