Tutarajie hukumu: je ni onyo Kali au fidia..?

Tutarajie hukumu: je ni onyo Kali au fidia..?

Mashahidi wa gizani waliotoa ushahidi usio na shaka ndio kama yule bodaboda aliyepewa jina la P2 aliyesema alikuwa kijiweni akahamasika na kauli ya kukinukisha ?

Mwingine eti ni mkulima alsikia clip akaenda kumwambia mkewe wakahamisika kukinukisha.

Hujiulizi kwanini waliamua mashahidi wawe wa gizani??

Watu mna mizaha sana na kodi za watanganyika.
Wanajua hawatafanywa chochote.boda boda aache kuhamasishwa na DIAMOND ahamasishwe na clip?
Ama kweli MWAFRICA WAKE UTUMWA TU
 
Wanajua hawatafanywa chochote.boda boda aache kuhamasishwa na DIAMOND ahamasishwe na clip?
Ama kweli MWAFRICA WAKE UTUMWA TU
Ndio maana nikamjibu huyu mleta mada kuwa kwa sasa kesi yenye public interest na hiyo ya Lissu na hadi imeamuliwa kupelekwa gizani huko na hao mashahidi uchwara lengo lao ni mgombea asiyeuzika na sheria kandamizi za tume zimsaidie ashinde kiulaini kwa kuunda upunzani feki wa akina CHAUMMA.

Ila hadi sasa wote tumejionea watu walivyozipuuza kampeni hizo ukiachiliwa wale wanaosombwa kwenye malori kama ng'ombe.
 
Back
Top Bottom