Tutarajie Masheikh katika kiwango Chao Cha juu Cha Ujinga kuanza kumshambulia The Genius Mjumbe Wa Mungu Padre Kitima

Tutarajie Masheikh katika kiwango Chao Cha juu Cha Ujinga kuanza kumshambulia The Genius Mjumbe Wa Mungu Padre Kitima

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya.

Muendelee KUTEKA.

Muendelee Kuua .

Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima.

Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo.

Hiii inaitwa Tunakupiga Kila Kona !!.

Dec 9 Maandamano yako palepale !!.
 
Masheikh hawawezi ungana na makafiri kama hao TEC katika kuunga mkono fujo na uhalifu

Kanisa ndiyo wana historia hiyo,mfano mauaji ya kimbari na ushiriki wao katika biashara ya utumwa
 
Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya.

Muendelee KUTEKA.

Muendelee Kuua .

Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima.

Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo.

Hiii inaitwa Tunakupiga Kila Kona !!.

Dec 9 Maandamano yako palepale !!.
Kijana kilaza sana sijapata kuona. Nilitarajia katika haya anayoyasema Kitima anaye jinasibu na dini au kiongozi wa dini, ungemuuliza Yesu alikuwa anadiki vipi utawala au watawala waovu ?

Hili kwa ujinga wenu na ujinga wake naye pia halijui huenda hataki kulijua.

Acheni kuhamasishwa vijana wasio na hatia.
 
Tunawapuuza kama ilivyo ada. Ukweli haijifichi wala haujitaji kutetewa kama UONGO.
Gen Z hatufungamani na DINI, KABILA, UKANDA , ITIKADI WALA RANGI tunafungamana na UKWELI & UWAJIBIKAJI.

Madai yetu ni haya
1. Iundwe Serikali ya Mpito
2. Katiba Mpya ya WANANCHI
3. Uchaguzi urudiwe.

Period!
 
Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya.

Muendelee KUTEKA.

Muendelee Kuua .

Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima.

Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo.

Hiii inaitwa Tunakupiga Kila Kona !!.

Dec 9 Maandamano yako palepale !!.
Kama nawaona wanavyofanya rehearsal ya kutoa mapovu wakiwa viunga vya Buguruni😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unajua Samia na Genge lake lote kuanzia TISS mpaka Masheikh wanatabirika kirahisi sana.

Matumizi ya Nguvu kwao ni makubwa, Kwa bahati mbaya wamekoswa pia Akili.
 
Back
Top Bottom