Tutarajie nini baada ya kauli hii?

Ahahaha[emoji3][emoji3][emoji3] aende zake tu
Champion boy

Kichape Genk, huku Bongo wakikuzingua staafu tu waachie timu yao kichwaa cha mwenda wazimu kama vipi hata uraia unabadili tu.

Haina kufeli
 
Anavurunda
Nyie watetezi mwenyewe kakubali kukosolewa mbona kila siku watu wanalalamika huku naniliu hapendi kukosolewa ila haohao mnalalamika kila sikumnapinga mtu kukosolewa,Samatta yeye nani asikosolewe? Tuache ushamba mpira hauchezwi chumbani
 
Labda kiwango cha Genk na huku kwetu vipo tofauti sana
 
Sammata anawechekea sana watz soon watampanda kichwani.

Kiwango cha mtu mmoja kitaonekana vipi kama team nzima ni mbovu??
Mipira (sio kondom) ilikua inapotelea kwake hakunyang'anya mpira hata mmoja! Kama vipi si angeenda kumsaidia mkewe kukuna nazi tujue moja.
 
Mipira (sio kondom) ilikua inapotelea kwake hakunyang'anya mpira hata mmoja! Kama vipi si angeenda kumsaidia mkewe kukuna nazi tujue moja.
ahahaha Mkuu
 
Katika mechi8 zilizopita Samatta amefunga magoli5 na kutoa assist3, msuva amefunga magoli5 pia na katika hayo magoli assist3 zimetoka kwa Samatta mi roho inaniuma pia navyoona watu wanamshukia samatta na wachezaji wenzake hawamtetei wanafurahia anachofanyiwa? bado nasubiri kauli ya Msuva na sure boy kuhusu hili
 
Tusubiri mechi zijazo za Taifa stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…