Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Matokeo mara nyingi ni kabla ya kuanza mitihani ya form six. check out
 
ha ha ha ha ha yan apa wamejaa watoto,kwi kwi kwi kwi kwi! Matokeo ni wiki ya 1st Feb,b4 ACSEE..WIKI YA TAREHE 4 feb
 
TULIZA MTORI NYAMA ZIKO CHINI MATOKEO 4M 4 YANAJUMLISHWA VIZURI NDANI YA WIKI HII YATATOKA.NO PROBLEM>KAJIPANGE TU 1,2,3, NA 4ZA POINT 26,27 WAMECHAGULIWA.NI KAMA ILIVYOFANYIKA SHULE ZA MSINGI ..>MMES OYEEEEEEEE!> HII NDIO TANNNNNNNNNZANIA

:israel:
 
Hata mimi ni mhitimu lkn mtaani watu bp iko beyond normal

bp inatoka wapi? kwani c unaelewa ulichokipanda? Kama ulipanda njugu mawe usitarajie karanga, ni njugu mawe tu...wote mnaopandwa na bp kwa ajili ya matokeo mnategemea miujiza tu, mnajua mlifanya utumbo kwenye mitihani hivyo mnasubiri miujiza. Nakushauri usijisababishie matatizo zaidi kiafya, nenda dukani ununue jembe ujiandae kwenda shambani ukalime. Ni kazi nzuri tu
 
Kijana ondoa wasi,tulia tuli kama maji ya mtungini kwani nasi wakitukoroga tu tunafanya kama UDOM!
 
eti wana jf matokeo ya waliomaliza pepa la kidato cha nne necta mwaka jana yanatoka lini....?
NIMESIKIA WENGINE WANASEMA MWEZ WA NNE ,WENGINE MWEZI WAPILI , Nipate uhakika kutoka kwenu....
Uliza mliomaliza nao form 4,humu ni Graduate tu wamo na hawafuatilii hizo mambo
 
Yanatoka tar 8 coz watu wanatakiwa fanya application kwenye vyuo vya afya kabla ya april bt mwaka huu bwana..ngoja tusubiri tu mtoa mada matokeo yasipokua poa sana tujulishane
 
hizi degree za kujisifu nazo

Siyo degree za kujisifu, utakapo fanikiwa kupata degree ndiyo utamuelewa MARO BM alichokuwa anamaanisha. Kwasasa ni ngumu sana kwako kumuelewa. Hii maada ungeipeleka Facebook ingefaa sana maana kule kuna wanao fanana na wewe wengi sana.
 
Back
Top Bottom