Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge.
Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.
Hivyobasi, Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma liko wazi na Uchaguzi Mdogo utaitishwa na Tume ya Uchaguzi kujaza nafasi hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Uchaguzi
Naomba Kuwasilisha Wakuu Na Niko Tayari Kusahihishwa. [emoji120][emoji120][emoji120]