Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
... maajabu ya Kigoma hayo!Kwahiyo kuna Muhambwe na Buhigwe.
Yako wazi.
Ndio yako wazi.Kwahiyo kuna Muhambwe na Buhigwe.
Yako wazi.
Asante kwa taarifa mkuuMbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge.
Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.
Hivyobasi, Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma liko wazi na Uchaguzi Mdogo utaitishwa na Tume ya Uchaguzi kujaza nafasi hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Uchaguzi
Naomba Kuwasilisha Wakuu Na Niko Tayari Kusahihishwa. [emoji120][emoji120][emoji120]
Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge.
Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.
Hivyobasi, Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma liko wazi na Uchaguzi Mdogo utaitishwa na Tume ya Uchaguzi kujaza nafasi hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Uchaguzi
Naomba Kuwasilisha Wakuu Na Niko Tayari Kusahihishwa. [emoji120][emoji120][emoji120]
Majimbo yote yapo wazi sababu hakuna aliyewachagua hao wapuuzimpaka sasa ni majimbo gani ambayo yako wazi
Learned Let Me Declare Kwamba nimekosea Mkuu, Then Lile Group Let La Lawyers Bado Lipo? Nilisafiri Nje Nimerudi juzi, ebu naomba unirudishe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji120]Josh J umeiba andiko langu (plagiarism) bila kutaja source na umeondoa Jina langu (Matojo M. Cosatta) kwenye andiko langu . Andiko hili nimeli post mara ya kwanza kwenye group la WhatsApp linaitwa Maswali Magumu saa 5 na dakika 34 leo tarehe 30 March, 2020.
Naenda kukichukua hicho kiti mkuu, wilaya yangu hiyo.Bila shaka wizi na rafu haitakuwepo tena
Mtihani wa kwanza kwa mama samiaBila shaka wizi na rafu haitakuwepo tena
Nashauri Zitto agombee hilo JIMBO.Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge.
Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.
Hivyobasi, Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma liko wazi na Uchaguzi Mdogo utaitishwa na Tume ya Uchaguzi kujaza nafasi hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria za Uchaguzi
Naomba Kuwasilisha Wakuu Na Niko Tayari Kusahihishwa. [emoji120][emoji120][emoji120]
Ngoja tuone...Mtihani wa kwanza kwa mama samia
Kwa wapinzani wake wa kisiasa
Sawa mkuuNgoja tuone...