Tutarajie uchambuzi gani kutoka wachambuzi ambao siku zote wanaoiponda Simba baada ya mechi ya leo?

3 Angels message

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
5,350
Reaction score
15,426
Kwa takribani misimu hii miwili na hasa huu unaoendelea kumeibuka wimbi la wajiitao wachambuzi ambao uchambuzi wao unasukumwa na mahaba ya timu zao ambao wamekuwa wakiiponda na kuibagaza simba mara ni mbovu, haina kikosi kipana, haina quality players nk

Kwa matokeo ya leo dhidi ya timu inayoimbwa ni bora tutarajie maneno gani ya kiuchambuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…