Tutaridhiana vipi na watu tusio waona? Wasiojulikana?

Tutaridhiana vipi na watu tusio waona? Wasiojulikana?

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
- kuna chuki na uhasama uliosababishwa na wanaoitwa wasio julikana wakiteka , kupoteza na kuuwa raia.

  • yawezekana ni haohao hapo juu ndio walioua ndugu zetu kwa maelfu oct 29.
  • yawezekana ndo haohao huwa wanapora michakato ya uchaguzi wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na rais kwa kuiba kura na kutangaza wasioshinda

-Ni nani hao? Kwanini tunawaita wasiojulikana?
-Tutaridhiana vipi na watu ambao wana operate kwa kificho?
-Halafu haya maridhiano ni kati ya sisi wananchi na nani
- ni nani hasa waoiotuua tareh 29.
 
Back
Top Bottom