- kuna chuki na uhasama uliosababishwa na wanaoitwa wasio julikana wakiteka , kupoteza na kuuwa raia.
yawezekana ni haohao hapo juu ndio walioua ndugu zetu kwa maelfu oct 29.
yawezekana ndo haohao huwa wanapora michakato ya uchaguzi wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na rais kwa kuiba kura na kutangaza wasioshinda
-Ni nani hao? Kwanini tunawaita wasiojulikana?
-Tutaridhiana vipi na watu ambao wana operate kwa kificho?
-Halafu haya maridhiano ni kati ya sisi wananchi na nani
- ni nani hasa waoiotuua tareh 29.