Tutashuhudia watoto wengi watakaozaliwa kuitwa SAMIA

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
Sijui ni ushamba au ulimbukeni huwa sielewi kabisa

Watanzania ni watu wa kuhisi jina la mtu ndio mafanikio

Ufahari wa jina hasa ya kikabila ni kujua maana ya jina, Majina ya kikabila kwanza ni unique na mazuri Sana linakuja jina lako linapendeza

Angalia majina ya kilugha ya wanaigeria yana maana

Sasa watoto wa kike watakaozaliwa mwaka huu utasikia watu wanawaita Samia kila kona bila kujua maana ya jina

Je huu ni ushamba au kukosa maarifa?

Je wewe mchangiaji unajua maana ya jina lako au na wewe hii mada inakuhusu?
 
Ifahamu maana ya jina la Rais wako, Bi Samia Suluhu: Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu.
 
Sijui ni ushamba au ulimbukeni huwa sielewi kabisa

Watanzania ni watu wa kuhisi jina la mtu ndio mafanikio

Ufahari wa jina hasa ya kikabila ni kujua maana ya jina, Majina ya kikabila kwanza ni unique na mazuri Sana linakuja jina lako linapendeza

Angalia majina ya kilugha ya wanaigeria yana maana

Sasa watoto wa kike watakaozaliwa mwaka huu utasikia watu wanawaita Samia kila kona bila kujua maana ya jina

Je huu ni ushamba au kukosa maarifa?

Je wewe mchangiaji unajua maana ya jina lako au na wewe hii mada inakuhusu?
Maana ishawekwa humu na Faizafoxy acha usiwapangie watu.

Sio ushamba bali kila MTU huwa na mtazamo wake juu ya hilo.
 
Wakina samia wengi sana.watoto wa kike wa kiislam wengi samia.haitakuwa kama ilivyokuwa kwa obama au kikwete.
 
Back
Top Bottom