GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Sijui ni ushamba au ulimbukeni huwa sielewi kabisa
Watanzania ni watu wa kuhisi jina la mtu ndio mafanikio
Ufahari wa jina hasa ya kikabila ni kujua maana ya jina, Majina ya kikabila kwanza ni unique na mazuri Sana linakuja jina lako linapendeza
Angalia majina ya kilugha ya wanaigeria yana maana
Sasa watoto wa kike watakaozaliwa mwaka huu utasikia watu wanawaita Samia kila kona bila kujua maana ya jina
Je huu ni ushamba au kukosa maarifa?
Je wewe mchangiaji unajua maana ya jina lako au na wewe hii mada inakuhusu?