KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 848
- 191
Naamini Tanzania kama nchi ni tajiri sana;lakini cha ajabu hatunufaiki na utajiri tulionao hadi sasa.Mfano mzuri hadi hivi sasa bajeti yetu ya nchi ni tegemezi na imefikia hatua bila hat ya aibu viongozi wa nchi hii ndani ya Bunge la bajeti wanatoa taarifa ya mapato na mojawapo ya vyanzo vya mapato ambavyo vinasaidia katika kuhakikisha bajeti ina kamilika ni utasikia "fungu kutoka kwa wahisani ni kiasi kadhaa na kiasi kilichobakia kinatoka katika mapato yetu ya ndani."
Swali ni kwamba,tutaendelea kutembeza bakuli mpaka lini?Hii habari inanikera kwelikweli,sijui kwa Wtanzania wengine wanaichukulia vipi!
Swali ni kwamba,tutaendelea kutembeza bakuli mpaka lini?Hii habari inanikera kwelikweli,sijui kwa Wtanzania wengine wanaichukulia vipi!